Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 550
- 1,019
Hivi unajua unaweza kuongeza nafasi kwenye sd card (memory card) au flash drive kupitia kompyuta 😀!! Najua una shangaa relax 😁
Kuna program Moja ukifanikiwa kuwa nayo inakupa Uwezo wa kuongeza nafasi kwenye memory card yako (pendrive) ukubwa unaotaka.
Program iyo inaitwa SData Tools hii ni software itakayokusaidia kuongeza nafasi kwenye memory card yako kwa ukubwa mbalimbali wa flash yako kama ifuatavyo
• 2Gb kwenda 4Gb
• 4Gb kwenda 8Gb
• 8Gb kwenda 16Gb
• 16Gb kwenda 32Gb nk
Program hii inaongeza nafasi kwenye memory bila kuhalibu mfumo wowote uliopo kwenye pendrive yako (Sd card au flash) kwa asilimia 💯
Unafanyaje Sasa 😜.........🏃♂️
👉 Pakua software inayoitwa SdAta tools kwenye kompyuta yako link hii 👇 SdAta 4.3Mb
👉 Ukimaliza sasa utaweza ku extract file lako maana liko kwa mfumo wa Zip Kisha utafungua na ku run file lako sdatatools.exe kupitia run as administrator
👉 Sehemu ya choose data to compress utaweza kuchagua flash yako ni ipi kama Herufi yake ni E,G,H nk
👉 Kwenye data size chagua unataka kuongeza ukubwa gani mfano kama flash yako ni 4Gb weka 8Gb
Ukimaliza bonyeza E compress now utaweza kuongeza ukubwa flash yako. Inafanya kazi kuanzia window 2000 mpaka window 11 ✅