Pre GE2025 Onesmo Mushi: Kwanini Mbowe hapaswi kupewa uongozi tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
31,692
41,728
"Bila shaka hii ni kwa sasa, vinginevyo labda kwa siku za usoni."

Hoja hupingwa kwa hoja. Anaandika msomi, tukisubiria za kina Sugu:

"Ubunifu wa Mbowe miaka ya nyuma ulikuwa asset kubwa kwa chama. Hata hivyo miaka ya hivi karibuni UBUNIFU huu umeonekana kufikia plateau, jambo linalokigharimu chama na umma kwa ujumla.

1. FAM amefanya kazi nzuri ya kusajili vijana na kuwalea kwa gharama kubwa ya chama. Hata hivyo amekuwa kiongozi anayeshindwa kuretain vijana hawa pale wanapokomaa na kuwa na potential ya kukiletea chama matunda.

Chama kupoteza vijana kama Zitto Kabwe, David Kafulila, Peter Lijualikali, Patribasi Katambi, Joshua Nassari, Halima Mdee, na vijana wengine potential kwa sababu zisizoeleweka ni taa nyekundu inayoashiria tatizo katika uongozi, achilia mbali factors nje ya chama.

Ikishafika hatua askari machachari wa chama wanakuwa tayari kumkimbia kamanda wao kwa wingi tulioushuhudia miaka ya hivi karibuni, iwe kwa kununuliwa au kuamua tu kuondoka, ni dhahiri kamanda anahitaji kufanyiwa tathmini.

2. FAM amebadilisha CHADEMA kutoka kuwa chama chenye watu kama vile Prof. Baregu, Prof. Safari, Dr. Slaa, Prof. Kitila Mkumbo, na vichwa vingine makini vyenye uzoefu, elimu, na uwezo mkubwa wa kujadili uelekeo wa chama na badala yake leo chama kimejaa watu ambao tunaweza kusema badala ya wao kumshauri mwenyekiti, wao ndio wanashauriwa na mwenyekiti kwa kupokea na kutekeleza maelekezo yake.

3. FAM alifanya kazi kubwa ya kuiimarisha CHADEMA. Hata hivyo, kitendo cha ubunifu wake kufikia ukomo kimefanya aanze kutumia approaches ambazo ni dhahiri zinakidhoofisha chama kila uchwao.

Hali hii imeisababisha CHADEMA iliyokuwa chama kikuu cha upinzani na chenye sauti strong ya umma iliyokuwa na uwezo wa kumlazimisha Waziri Mkuu kujiuzulu kwa ufisadi kubadilika mpaka kuwa chama kinacholamba watawala miguu kwa kutoa tuzo na kumwimbia Rais mapambio ya sifa.

Udhoofu huu umefanya CHADEMA kuwa chama kikubwa cha upinzani kisichokuwa na tone la nguvu kiasi kwamba Rais anaweza kuamua kukamata viongozi wote wa juu wa chama na kuwaweka ndani pasipo kuhofia reaction yoyote, let alone kupora chaguzi.

4. Umaarufu wa FAM na influence yake ya fedha vimemfanya ametengeneza chama kumzunguka yeye na kuibadilisha CHADEMA kutoka kuwa chama cha umma mpaka kuwa chama cha Mbowe. Leo umma unashindwa kuitikia kwa sauti moja pale chama kinapoushawishi kushiriki vitu kama maandamano kwa sababu hauioni tena CHADEMA kama chama chao.

5. FAM aliitoa sadaka integrity ya chama alipokubali kumsimamisha Lowasa, mtu ambaye chama kilizunguka nchi nzima kumtangaza kama fisadi, kuwa mgombea urais wa CHADEMA. Maamuzi haya yanayoendelea kukigharimu chama mpaka sasa yalifanywa kwa kuangalia mafanikio ya haraka haraka ya kutumia umaarufu wa Lowasa kuongeza idadi ya wabunge bila kuangalia gharama yake in the long run.

Matokeo yake leo chama hakina wabunge, hakina tena sauti ya kukemea ufisadi na ubadhirifu ambayo ilikuwa mtaji wake kwa umma, na mbaya zaidi hakina tena ile imani kilichokuwa nayo kwenye macho ya umma.

Uhai wa CHADEMA unategemea ujio wa MBINU MPYA NA UONGOZI MPYA, kumrudisha FAM kwenye kiti ni sawa na kuikatia CHADEMA tiketi ya kuelekea kaburini."

-------

Mwisho wa kumnukuu.
 
Summary!
FAM amefika kikomo

Kwamba?

Gg1mKSLWYAAyvA9.jpeg

Bado anasubiria nini?
 
Timu waropokaji wanasema Mbowe hana nia ya dhati ya kushika dola - wao wanayo.
 
Mbowe ni wale wa sikio la kufa halisikii dawa. Hela za mama Abdul zimeshamfanya kuwa zezeta haambiliki wala hashauliki
 
Namkumbuka Ole Mushi na yaliyomfika....

Siasa ni umafia usio na tija
 
Sina kumbukumbu ya Chadema kumfanya Waziri Mkuu ajiuzulu. Sikumbuki kabisa!
 
Mbowe ni jabali la siasa za upinzani Tanzania. WanaCCM tuko tayari kumsapoti kukijenga chama chake. Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA.
 
Namkumbuka Ole Mushi na yaliyomfika....

Siasa ni umafia usio na tija

Fikiria pia yaliyowafika Lissu, SOKA, Kibao, Mawazo, Ben, Azory, Sativa na wengi wengine.

Kisha sikilizw tantalila za kina Wenje wazee wa fursa, madalali wasaka pesa bila kujali kwa namna gani.

Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom