Ona hii Katuni ya gari kupoteza uelekeo

Lazima wapuuzi na waliozoea kupelekwa wasikokujua waone gari limepotea njia........awali hawakujua walipo na waendapo.

Magu kakamata usukani anawarudisha kwenye njia ya lami na kuwatoa porini mlikopelekwa mkiwa mmefungwa macho na vitambaa vyeusi vya wizi na ufisadi,umalaya,ulevi na ufirauni achilia mbali kujibadili majina,mnamuona kakosea njia.

Mzee simama uliposimama........naamini kunacku watakuelewa.

CCM DAIMA

PANGA LA ZAMANI MAKALI YALEYALE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…