Kataika Tangazo la 24/09/2024 likilotolewa na Menejinent ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, lililotoka kwenye mfumo wa ESS Utumishi likitoa kibari Cha watumishi Serikalini kufata wenza ( uhamisho kufata mme au mke) kupitia Wakurugenzi wa Majiji, manispaa na halmashauli.
Tunaomba muda yongezwe angalau wiki Moja kwani watumishi wengi wa vijijini, hata mjini wamekwama kukamikisha zoezi hili kwa wakati.
Ili vigezo vikamikike mtukishi anahitaji kutambulishwa na mkurugenzi wake kwa njia ya barua. Watumishi wengi barua zao bado ziko masijala zikisubili kusainiwa na wakurugenzi husika ambao wengi wao hawajasaini kutokana na kuwa bize na BVR na huu uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa wa tarehe 27 Novemba.
Mwisho wa mchakato huu ni kesho kutwa ijumaa ya tarehe 4 ambapo Sasa kwa uhakika wengi watakwama.
Nb:
1. Wakurugenzi hawako maifisini wako bize na Uboreshaji wa daftari la kudumu la Tume huru ya Uchaguzi
2. Wakurugenzi wako bize na seminar (na watendaji kata) kwa ajiri ya zoezi la kuandikisha kwenye daftari wapiga kura Serikali za mitaa kwa ajiri ya Uchaguzi wa Novemba 27.
Barua zimekwama masijala