Wakuu, tumezoea kuangalia bunge LIVE na hii ilipelekea kuwajua wabunge wote bila shida.Kutokana na bunge la sasa mara nyingi na kwenye mijadala mirefu halionekani tena live wabunge wengi wa UKAWA hatuwajui kwa sura wala majina.
Naomba kwenye uzi huu mweye kuwajua atuwekee kila mmoja na jina lake na picha yake kama ikiwezekana, pia na sehemu wanazotoka sio mbaya.