OMBI KWA WCB WASAFIII

Sambusa kavu

JF-Expert Member
May 4, 2015
803
1,284
Awali ya yote niseme tuuu,uwepo wa WCB unanipa burudani saaaaana...kila nyimbo wanayotoa ni hit after hit...wala sitaki kuzungumzia kinachotrend kwasasa africa kuanzia maredion mpaka kwenye matv station(maana hata watoto mitaani sahivi ni salome tu)..Nije kwenye ombi lenyewe sasa....

Youtube kuna clip ya birthday party ya Rayvanny...umo ndani kuna nyimbo inasikika background..nyimbo ya birthday alioimba Harmonize...daaaah sijui nisemeje maana ni booonge la nyimbo,yaaan ni boonge la nyimbo.

Binafsi natamani huu wimbo waurelease hata sasa hivi,sema ndovile tena mipango ya management...napenda kupitia uzi huu ,nifikishe ombi langu kwa uongozi mzima wa WCB wauachie huu wimbo mapema maaana ni wimbo mzuri,mtamu,mkali,na booonge la hit..Uzuri wa maudhui yake ni kwamba utasikilizwa na kupigwa hata miaka 100 ijayo(maana kila siku watu wanasherekea birthday zao)...naamini hakuna mtu atakaeuchukia huu wimbo(hata wale wenye timu zao zingine)

Wadau wote wa JF pia nawaomba tuonyeshe umoja wetu kwa kusupport uzi huu na naamini kupitia Jamii forum,uongozi mzima wa WCB wasafiii watasikia kilio chetu na kukifanyia kazi.Pamoja tunaweza jamaniii,ebu tuwaamasishe WCB waurelease huu wimbo jamaniii......please release happy birthday ya harmonize!!! please relese happy bithday ya harmonize!!!

Mungu awaongoze na kuwalinda WCB ili tuzidi kupata burudani iliyotukuka.....

Link ya clip youtube hii hapa (...na kapicha kako nitakapost halafu iaizer kwenye bit anafanya yake tindindi tindi ndi....daaaah haka kanyimbo walllah kamenikamata) Hata comment za watu youtube wote wanaulizia huu wimbo tu ni wa nani na unapatikana wapi..
 
Mbona nimesikia besidei tu yuu ama ndo nyimbo yenyewe
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Huyu jamaa birthday yake lini?

BABADIAMOND3.jpg
 
Back
Top Bottom