Ombi kwa Bernard Membe

membe ana mapungufu mengi sana, lakini ndiye rais bora kuliko wanaccm wooote, kwanza anajua kiingereza, elimu yake sio magumashi, ana utaalamu na diplomasia, ni afisa usalama wa taifa, halafu ana akili.
Huu ni "uchochezi" sasa. Huyu wa 2015-2025 unauonaje kwani? Anakosa vitu gani hapo?
 
We akili yako inahama hama bila kujielewa.... Mtoa mada amefocus membe we unaleta ya luwassa.....uko Sawa!?!?
 
Huu ni "uchochezi" sasa. Huyu wa 2015-2025 unauonaje kwani? Anakosa vitu gani hapo?
hatuelewi kwanini hataki kusafiri nchi za nje. tungependa tusikie walau kakiingereza kidogo akiongea huko kwa wenzetu. si ulimwona kagame BBC HARDTALK anavyotiririka, rais wetu pia tunapenda aonyeshe mauwezo yake kwenye ku argue hoja kwa kiingereza.
 
Mleta mada umeleta hoja nzuri ila sidhani kama wakati huu ni sahihi. Utasababisha Mzee Membe aanze kusumbuliwa tu. Hii hoja ingekuwa vizuri zaidi ungeileta mwaka2019 mwishon au 2020 mwanzoni
 
Am
Amekutuma??? Au unapima upepo??
 
membe ana mapungufu mengi sana, lakini ndiye rais bora kuliko wanaccm wooote, kwanza anajua kiingereza, elimu yake sio magumashi, ana utaalamu na diplomasia, ni afisa usalama wa taifa, halafu ana akili.

Nimependa sentensi zako za mwisho
 
UMETUMWA, UNA MATATIZO YA AKILI,UNAUMWA AU NI NYUMBA NDOGO YA MTAJWA. YAANI UNAPATA WAPI UJASIRI WA KUTAKA KUIZA NCHI HII KWA MARA NYINGINE TENA. UNADHAN watanzania wote wana akili kama yako ya hovyo. MEMBE HAFAI HATA KUWA BALOZI WA NYUMBA KUMI hata hapa napoishi.
KAMA UNAMPENDA MEMBE MFANYE AWE BABA MWENYE NYUMBA YAKO AU BABA WA FAMILIA YAKO. USITULETEE TENA HAPA MATAKA TAKA YAKO.

membe ana mapungufu mengi sana, lakini ndiye rais bora kuliko wanaccm wooote, kwanza anajua kiingereza, elimu yake sio magumashi, ana utaalamu na diplomasia, ni afisa usalama wa taifa, halafu ana akili.
Anajua kiingereza, aisee! Kama hizi ndizo akili za upinzani basi bado hatuna mbadala wa CCM
 
Anajua kiingereza, aisee! Kama hizi ndizo akili za upinzani basi bado hatuna mbadala wa CCM
kwaakili yako unaamini kiingereza sio cha mhimu? kuna wengine wana phd lakini ung'eng'e kwao ni mtihani mzito bora hata nje ya nchi asisafiri kabisa kuliko kumung'unya ung'eng'e. ukiuujua unapata confidence hata kwenda nchi za mbele huko kutafuta madili kama jk, ulikuwa unaona jk ana shida? ndio maana kipindi chake maisha yalikuwa mazuri walau kuliko sasaivi tunavyoishi kama tupo kisiwani hata ushirikiano na nchi zingine umepungua kwasababu ya kujifungia ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…