CCM inajiua yenyewe! Ole sendeka hafai kuwa kiongozi hata msemaji wa kijiji leo hii ni Msemaji wa chama!! Ni mtu ambaye yuko radhi kusifia ujinga ili kupata cheo! Mnafiki na asiekuwa na msimamo. Wakati wa sakata la richmond ndio Alionyesha tabia yake halisi. CCM utaratibu wa Kupata viongozi wake ndio kitanzi chao na wakija kushtuka watajikuta kila mahali watu kama Olesendaka, nape, Makonda, january ndio viongozi na hapo taratibu meli inazama.