Oktoba, Mwezi wa Kimataifa wa Kujenga Uelewa wa Saratani ya Matiti

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,140
1,967
Mwezi wa Uhamasishaji kuhusu Saratani ya Matiti Duniani hutumika kuongeza uelewa kuhusu Saratani ya Matiti, Kuhamasisha Uchunguzi wa Mapema, Kutoa Msaada kwa wale wanaoathiriwa na Ugonjwa huo, na kukusanya fedha kwa ajili ya Utafiti, Kinga, na Matibabu

Lengo la Uhamasishaji huu ni Kuiwezesha Jamii hasa Wanawake kujali afya zao za matiti na kutoa Jukwaa huru la kushiriki elimu na Shuhuda Mbalimbali, kuchangisha fedha, na kutoa msaada kwa Wagonjwa wa
Saratani ya Matiti na Waathiriwa walionusurika
 
Back
Top Bottom