Car4Sale Okoa zaidi ya milioni 1, pata ist chasis kwa 17.5m tu + usajili

Samatime Magari

Senior Member
Feb 10, 2017
118
454
Ndio its a fresh import hii Safari tembo mafuta Mbuzi kazi ni kwako....

Machine ni YA 2005 ina km 58,000 CC 1290 na imetoka Japan juzi tu bado inanukia Ki Japan Japan...

Service yake haizi 100K oil Filter 10K, Engine Oil Mafuta ya Kula Air Cleaner unapuliza Labour Charge 5K..

Sasa ukianza kuuliza tena kama utaweza kui maintain hii, upatikanaji wa vipuri my friend baki na TZ11 tu..

1729059861947.png
1729059891150.png

Hii machine nitakupa kwa 17.5M ikiwa na usajili [No Maongezi], Utaokoa zaidi ya 1M maana hii gari Yard ni 18.6M++..
.
NImekuambatanishia hapa picha kadhaa but kwa taarifa zaidi na picha wasiliana nasi kwa nambari 0714547598
.
1729059960798.png
1729059987070.png


Pia unaweza kutetembelea ofisini MUA house posta MPYA karibu na Benjamini Mkapa Tower DSM

Asante
0714547598
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom