Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,386
- 13,888
Boti ndogo zinatumia injini za Nje(Outboard Engine) zimetengenezwa kulingana na mapigo ya injini (engine stroke/cycle). Hapa kuna aina mbili (2) injini kulingana na mapigo Kuna 2 Stroke Outboard Engines na 4 Stroke Outboard Engines.
Watumiaji wengi wa boti au vyombo vidogo vya majini wamekuwa wakitumia oil na vilainishi vya magari au pikipiki za kawaida.
Injini za Boti huitaji oil iliyotengenezwa kwa ajili ya boti sababu ya unyevu na oil iwe na uwezo mkubwa wa kukabiliana na kutu, injini hizi hufanya kazi katika mzunguko wa wastani wa injini na kupata mihangaiko mingi (stresses).
Jumuiya ya watengeneza Magari na Mitambo (Society of Automotive Engineers- SAE) Kuna viwango waliweka kwa ajili ya vyombo na Mitambo inayofanya kazi kwenye maji.
National Marine Manufacturers Association (NMMA)
Hii ni taasisi inayojumuisha watengenezaji wa vilainishi,spare na vitu mbalimbali vya boti. Ili kulinda injini na kuzipa maisha marefu Kuna viwango vya ubora ambao wanataka oil iwe nayo kabla ya kufika sokoni na wanatoa vyeti vya ubora, pia kopo la Oil huandikwa na kuonyesha imepita viwango vya NMMA.
Oil na vilainishi vyoyote sahihi Kwa ajili ya boti lazima kiwe na alama au hiyo lebo kuonyesha kimekidhi viwango.
Tanzania watumiaji wengi hutumia oil za gari au pikipiki kuweka katika 4-Stroke outboard engines na zile za 2-Stroke hutumia 2 -stroke oil za pikipiki na chainsaw.
Kwa injini za zamani za 4 -Stroke ni vyema kutumia SAE 40 4-Stroke Outboard motor Oil na za miaka kuanzia 2000 ni vyema kutumia 10W30 kwa sehemu za Baridi au 10W40 kwa sehemu zenye joto.
Na kwa 2-Stroke outboard engines ni vyema kutumia 2T-W3 Oil. 2T huonyesha idadi ya mapigo ya injini na W huonyesha ni kwaajili ya majini, 3 huonyesha chombo kinapozwa kwa hewa,maji na oil hutumika.
Kwa ushauri au utengenzaji wa Boti za aina mbalimbali karibuni Sana Spabiton Marine &Civil Construction.
Kwa Dar es Salaam tupo Kigamboni- Vijibweni
Tanga karakana kuu ipo Mkwaja wilaya ya Pangani.