Ogopa viongozi wanaoamini suala la DP World nalo litapita

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
1,063
4,840
Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine.

Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time .

Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na wakiupata kila mmoja anaonyesha his/her true colour.

Tusiaminiane
 
Hilo wazo kama kipo na nikizingatia ukimya uliopo toka kwa msaliti, naamini msaliti atakuwa amepewa na yule mjinga aliyekuwa akisema kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala.

Haya ndio madhara ya akili ndogo zinapoachwa kushika hatamu za nchi, mambo nyeti yenye kubeba uhai na ustawi wa vizazi vijavyo yanaachwa tu yajiendee, wakiamini yatakwiaha yenyewe, bila kujali athari zitazoachwa na jambo husika.
 
Hiyo dhana ya hili nalo litapita Sa100 kaitoa kwa JK, siku hizi ni mwendo wa kuweka pamba masikioni tu sijui anatuchukuliaje huyu mazeri.
 
Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine.

Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time .

Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na wakiupata kila mmoja anaonyesha his/her true colour.

Tusiaminiane
Hivi umegawa bure nchi na kila kilichomo ndani yake, kuna nini tena? Litapita ila lazima na rais ajiuzulu kwanza, sio hivi hivi
 
Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine.

Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time .

Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na wakiupata kila mmoja anaonyesha his/her true colour.

Tusiaminiane
Kwa nini lisipite ikiwa hata Nyerere kafariki kapita na mpaka sasa ashasahaulika. Litapita na maisha yatasonga kama kawa.
 
Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine.
Bandari haijauzwa, hivyo hili litapita tuu!.
Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time .
Hakuna siku kama hiyo!.
Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na wakiupata kila mmoja anaonyesha his/her true colour.
Viongozi wetu ni wamoja, ila pia kila mtu ni tofauti!, that is all about managing diversity.
Tusiaminiane
Hakuna kulaumiana!, wala hakuna lawama!
P
 
Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine.

Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time .

Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na wakiupata kila mmoja anaonyesha his/her true colour.

Tusiaminiane
Bado hawajui kitakachowatokea hao wanaodhani huu ni upepo tu utakaopita hivi hivi na kuwaacha wao salama.

Historia mpya katika taifa letu inatengenezwa sasa hivi mbele ya macho yetu.
 
Jaribio la kuifanya Tanzania kuwa kama Burundi isiyo na bandari, halitafanikiwa.
 
Back
Top Bottom