Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

paqwa

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
2,027
2,750
Wadau hasahasa wanaume, kuna utamaduni ambao kimsingi binafsi naona umechangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo ya mahusiano.

Kuna kitu wanawake wanaita 'pesa ya matunzo' au 'huduma' na majina mengine mengi.

Wanaume wengi wameingia kwenye huu mtego hasa wakiwa na kahela hata kadogo anaona ni jukumu lake kumhudumia mwanamke ambae naye anapaswa kufanya kazi na kujitafutia, hili jambo limepelekea wanawake kujihusisha na ukahaba na umalaya.

1. Mapenzi ambayo ni yanahusisha miamala, yaani transactional relationship ni biashara tayari.

2. Pale mwanaume anapokosa riziki, au kufulia, suala la kugongewa linakuwa karibu kabisa naye sababu mwenzie alishazoea maintenance. Kwahiyo ataangalia option nyingine huku wewe ukitaabika na stress.

Nilibahatika kidogo kuishi na tamaduni kadha wa kadha, lakini niligundua kuna baadhi ya tamaduni hawaendekezi huu upuuzi.

Pesa haitolewi bila kazi ya msingi. Sasa mwanaume jiulize hiyo pesa unaitoa kwasababu tu ni mwanamke au kwasababu ya huduma gani?

Mwisho kabisa. Watu wengi wameweka ndani makahaba bila kujua, na mtashangaa sana mahusiano ya kisasa yalivo na misukosuko.

Obrigado.
 
Bora niendelee kuitwa bahili
170829245.jpg
 
Nashauri mwanamke wako muhudumie!!
Watamla usipo muhudumia na hata ukimuhudumia watamla vile vile!! Asante 😳😳
Mi nimetoa ushauri na observation tu mkuu. Swali, unamhudumia kwa ajili gani? Hawezi kufanya kazi?

Mtateseka sana mnaoendekeza huu ujinga.

Atakutana na mwenye pesa zaidi yako, mapenzi ya pesa ni sawa na kununia shivers au kimboka mzee.
 
"Pesa haitolewi bila kazi ya msingi. Sasa mwanaume jiulize hiyo pesa unaitoa kwa sababu tu ni mwanamke au kwa sababu ya huduma gani?

Mwisho kabisa. Watu wengi wameweka ndani makahaba bila kujua, na mtashangaa sana mahusiano ya kisasa yalivyo na misukosuko"
 
Wadau hasahasa wanaume, kuna utamaduni ambao kimsingi binafsi naona umechangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo ya mahusiano.
Kuna kitu wanawake wanaita 'pesa ya matunzo', au 'huduma' na majina mengine mengi.
Wanaume wengi wameingia kwenye huu mtego hasa wakiwa na kahela ata kadogo anaona ni jukumu lake kumhudumia mwanamke ambae naye anapaswa kufanya kazi na kujitafutia.
Sasa, hili jambo limepelekea wanawake kujihusisha na ukahaba na umalaya. 1. Mapenzi ambayo ni yanahusisha miamala, yani transactional relationship ni biashara tayari. 2. Pale mwanaume anapokosa riziki, au kufulia, suala la kugongewa linakuwa karibu kabisa naye sababu mwenzie alishazoea maintenance. Kwahiyo ata angalia option nyingine huku wewe ukitaabika na stress.
Nilibahatika kidogo kuishi na tamaduni kadha wa kadha, lakini niligundua kuna baadhi ya tamaduni hawaendekezi huu upuuzi. Pesa haitolewi bila kazi ya msingi. Sasa mwanaume jiulize hiyo pesa unaitoa kwasababu tu ni mwanamke au kwasababu ya huduma gani?
Mwisho kabisa. Watu wengi wameweka ndani makahaba bila kujua, na mtashangaa sana mahusiano ya kisasa yalivo na misukosuko.
OBRIGADO.
Dogo acha kupingana na kanuni za ulimwengu.

Hiyo ni kanuni ya ulimwengu, kama vile ilivyo gravity. Sasa wewe hangaika kupingana nayo uone mwisho wake.
 
Back
Top Bottom