Mkuu,samahani naomba kujua hivi hiyo interview ulitaarifiwa kwa njia gani!! Kama walikupigia simu kwa nini usingeomba maelekezo ya kufika ofisi zao!!
Ninavyojua mimi ukiitwa interview lazima wakupe information za kutosha ikijumuisha maelekezo ya sehemu ofisi ilipo...Hata hivyo subiri wanaoijua wakufahamishe.