Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,279
- 14,499
Wakuu salama huko? Naomba kuelekezwa mahali zilipo ofisi za Msajili wa NGOs kwa hapa Dodoma. Kwa yeyote anayefahamu zilipo tafadhari naomba msaada huo haraka iwezekanavyo niko jijini hapa sasa hivi. Hata kama Dr. Gwajima atasoma ujumbe huu anielekeze! Asanteni sana.