OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,459
- 11,327
Siku zote falsafa yangu ni akili ikishindwa kutatua jambo fulani basi ujinga au wendawazimu utumike kubuni njia mpya ya kutatua changamoto
OFFSIDE TRAP NI NINI?
Hii ni mbinu mpya inayotumiwa na FC BARCELONA kuharibu shambukizi la wapinzani na kuwapunguza makali washambuliaji hatari duniani kama Kilylian Mbappe.
Mabeki wa Barcelona hujipanga ktk mstari myoofu kwa ustadi mkubwa kwq kuhakikisha mchezaji wa timu pinzani yupo offside, yaani mabeki wite huliacha goli wanasogea mbele kabisa kuhakikisha kwamba mchezaji wa timu pinzani yupo offside
Hii huwafanya washambuliakji warudi nyuma zaidi mwisho wa siku wanajijuta waoo kati kati ya uwqnja 😀😀😀😀
Ukiangalia hii picha utaona wachezaji watatu wa Barca waliopo kulia wanamuangalia mchezaji wa madrid aliye na mpira, huku beki aliye kushoto yule wa nne anawaangalia wenzake.
Mpira kabla haujapigwa wao husogea mbele kisha kumwacha mpinzani akiwa offside ndio huanza kumkimbiza
Hapa utaona mshambuliaji wa Madrid yupo offside na mwenzake
Hii mbinu ikimfanya mbape akutwe offside marq 8 na wenzake mara 4 jumla offside 12 😆😆
Hawa Barcelona ni kama wendawazimu wao ukiwq unapiga faulo ile mchezaji wa timu pinzani anataka kupiga wao hukimbia mbele na kukuachia goli ufunge, unakuta offside wwpo watu 6 😆
Mpaka sasq hakuna kocha mwenye mwwrobaini wa hii mbinu
Wewe kama mdau unaionaje hii mbinu?