muuza magari
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 114
- 190
Range ya bei ni ipi kwa Nissan fuga la kuanzia 2004, km zisizo zidi 80 elfu na cc zisizo zidi 2500
Tangazo limekaa vyema, naomba liwe template ya matangazo mengine, nahitaji gari kweli, ngoja tuongee na mama watoto kwanza, ila kabei na mwaka naona kidogo issue..
Sawa mkuuPoa tutakufind
Ebu nipe bei ya IST yenye ofaSawa mkuu
Vehicle InformationEbu nipe bei ya IST yenye ofa
Mh hizo kilomita tu mkuuVehicle Information
Stock No. 338217
Year 2002
Month 6
Maker TOYOTA
Name IST
Chassis No. NCP60-0009413
Transmission AT
Drive 2WD
Color SILVER
PS PS
PW PW
AC AC
Door 5
Seat 5
Grade F L-ED
Other AB ABS AW RS FOG
Stereo 2DIN-SIZE CD RADIO
Tyre Size 185/65/R15
Fuel G
C.C. 1290
Mileage 95,000km
milioni 10.5 total cost paka unaipata mkononi ikiwa na vibali vyote KASORO BIMA TU
View attachment 513189 View attachment 513190 View attachment 513191 View attachment 513192 View attachment 513193 View attachment 513194 View attachment 513195
Vehicle InformationMh hizo kilomita tu mkuu
suzuki escudo zimetuishia bossNaomba bei ya suzuki escudo, mwaka 2004, cc 2000, chini ya km laki moja