Obama in Cuba Photos

Commander Fidel Castro na utabiri kuhusu Rais Mweusi Marekani:-

In 1973, just returned from a visit to Vietnam, Commander Fidel Castro was (speaking to international journalists). The journalist Bryan Davis from an English agency asked: “When do you think relations between Cuba and the United States, two countries as far away despite the geographical proximity, will be restored?”. Fidel Castro stared and replied to all who were in the room: “United States will come to talk to us when they have a black president and the world has a Latin American pope.
 
Alikuwa ana maanisha jambo hilo kuwa ni impssbl!!
 
Alikuwa ana maanisha jambo hilo kuwa ni impssbl!!

Ha ha ha! Kama ndivyo basi hiyo ni proof beyond reasonable doubt kwamba "yasiyowezekana kwa mwanadamu, kwa Mungu yawezekana". Pale ambapo Catro aliona kabisa haiwezekani US kuwa na black president; tena kwamba haiwezekani Vatican kuongozwa na Latin Pope hayo yamewezekana na yametokea angali ana pumzi ili aushuhudie ukuu wa Mungu - Mungu ambaye regime za madikteta wa kisoshalisti walimtukana vya kutosha enzi hizo. Dhihaka zake kumbe unabii ulikuwa unatimia hivyo.
 
Nimeipenda sana hii Quote, inaonyesha jinsi Mungu anavyofuatilia Neno!! Na huu ndio ukuu wa Mungu.
 
Obama nae fala kweli asee yaan mke yupo anahangaika na mwamvuli si bora angemuacha zake Florida ale vumbi asifike kisiwani

Hii mitoto imedekezwa sana kila siku kiguu na njia... Angani kila aendako mshua wao.. Km ni mimi nawachafua vibao Hatar
 
Acha akili za bange bange, lazima utembee na watoto wako, hiyo ndo familia bora, nimeona comment za watu wengi humu eti wanamshangaa Obama kusafiri na watoto wake ,wabongo bana, tuna akili za ki Ng'ombe kweli.
 
Eti miili yao ni rain proof!

Uncle...
Teh itabidi tu nikubali maana unaweza ambiwa jamaa wameongozewa layer ya plastic kwenye miili yao wakati wa mafunzo

Maana kuna mlinzi mmoja wa Obama washasema ni Alien kisa fuvu la kichwa sijui likoje
 
Reactions: kui
Nikataka kushangaa potrait ya Lincoln inafanya nini hapo kumbe wameiweka tu kwa ajili ya Obama.
Katika uongozi wake Obama amejitahidi sana kurudisha mahusiano ya Marekani na baadhi ya nchi yaloenda pembeni.
 
Teh itabidi tu nikubali maana unaweza ambiwa jamaa wameongozewa layer ya plastic kwenye miili yao wakati wa mafunzo

Maana kuna mlinzi mmoja wa Obama washasema ni Alien kisa fuvu la kichwa sijui likoje

Hahaaaa!, kwamba Rais wa Marekani ni important mno kiasi analindwa na aliens!...lol!

USA BABY!
 
Teh itabidi tu nikubali maana unaweza ambiwa jamaa wameongozewa layer ya plastic kwenye miili yao wakati wa mafunzo

Maana kuna mlinzi mmoja wa Obama washasema ni Alien kisa fuvu la kichwa sijui likoje
Hahahahaha. ...hlo fuvu lake likoje?!
 
natamani sana siku moja nilale kitanda kimoja na huyo binti yake Sasha tukiwa uchi kama tulivyo zaliwa

eeeh mungu izinisha tu atakama nitakukosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…