cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Najua hii itaonekana tofauti
lakini hii imenitokea live, Since nimeoa nazidi kumpenda mke wangu zaidi ya kipindi tulipokua wapenzi tu kabla ya ndoa.Kipindi hicho nilikua naweza kumchukulia poa hata simu zake nilikua naweza potezea tu na nikatoka club alone
Lakini saizi ikitokea sijamuona siku chache tu napata shida sana,Na weza kuita wivu wa mapenzi lakini with very good feeling,
Kipindi amejifungua akaenda kwao kupumzika kidogo ic nyumbani palikua ovyo sana tofauti na zamiani ningefurahia uhuru na kufanya yangu.lakini nimejikuta nakua mpweke sana na nikamrudisha haraka sana,
Saizi tumepata mtoto na namuona shujaa sana kwa hali aliyopitia kipindi chote kwa ujauzito.Nimejikuta namheshimu sana bila kulazimishwa,
Sijui this feeling ni kawaida au nitofauti na kawaida?
Huyo shetani Hapewi mwanya mda mwingine shetani tunampa kichwa kwa matendo yetu mabovu.Mungu yu Nasibado .......
subiri shetani aingie kati yenu kyakyakya utatamani uwe unalala hukohuko kazini
kila ndoa ina ups and downs cha msingi furahia wakati huuHuyo shetani Hapewi mwanya mda mwingine shetani tunampa kichwa kwa matendo yetu mabovu.Mungu yu Nasi
point takenAah useme ukweli tu ile mahari uliyomtolea ndio inakuuma. Sio hizo sababu ulizotoa.
Ila kuwa makini kwa huo upendo uliopitiliza maana binadamu yoyote akijua anapendwa lazima maringo yaje.
Mpende lakini usizidishe mpaka akakuona boya ukaja tena hapa kuomba ushauri.
for real mzee,ndio watu wanalaumu ndoa ngumu wakati wanataka waendelee kuishi maisha ya kibachelor wakati wameoa
point taken
hizo issue za kawaida sana, ili kufanikiwa na ndoa nzuri usisome mifano kwa watu negative wala msijifananishe na ndoa yoyote ndio mwanzo wa kuharibu,Be real na mwanandoa wako soma maandiko yanasema nini kumbuka Agano la ndoa Basi,Mengine mwachie MunguHongera sana kwa kuwa na ushajaa huo. Hongera sana mkuu.
Lakini kiuhalisia NDOA ni kijiwe cha usaliti, unafiki, uongo na unyanyasaji, wenyewe wazungu wanasema 'hypocritical institution'
Bill Clinton na ushawishi wote aliokuwa nao, heshima, elimu, pesa na zaidi yote kupata mke smart 'Hillary' lakini alizini na binti mbichi Monica Lewinsky, hakuishia hapo akamgonga Gennifer Glowers tena akiwa ikulu. Hakuishia hapo akambanjua Paula Jones na Juannita Broad.
Watu wanatembea usoni wanaonekana wana furaha na amani, lakini kiuhalisia chumbani hakuna mapatano, vita, chuki, ugomvi na lawama kibao. Hata Barack na Michelle kuna kipindi hawakuongeleshana ikulu kwa siku 4, na ni hawa hawa wanalala kitanda kimoja.
Mara nyingi wanawake ndio victims.
Siku hizi hapa mjini nahisi hata na huko vijijini ndoa imekua ni fashion. Masela wanaoa wapate uhakika wa kupakua muda wowote na mabinti wanatafuta ndoa wasionekane magume gume.
Aah useme ukweli tu ile mahari uliyomtolea ndio inakuuma. Sio hizo sababu ulizotoa.
Ila kuwa makini kwa huo upendo uliopitiliza maana binadamu yoyote akijua anapendwa lazima maringo yaje.
Mpende lakini usizidishe mpaka akakuona boya ukaja tena hapa kuomba ushauri.