Mkuu mwija,unaweza kutoa maelezo yanayojitosheleza ili upate msaada wa uhakika?Nina tecno p9 imezima yenyewe yenyewe tatizo nini Mkuu nikiichaji aioneshi dalili yoyote ya kuwaka
Ndio lengo la huu uzi mkuu. Mambo mengine tafuta majukwaa mengine.hongera ila mbona ni mambo ya technology tu?
mkuu kuna mada ile ya ku unlock simu zile ambazo huwa zinakuwa zimelockiwa na kampuni za simu kama tigo voda au airtel.
kama sikosei iliandikwa na Mwl.RCT au mtu anaitwa power
basi ungebadilisha title, maana ipo misleadingNdio lengo la huu uzi mkuu. Mambo mengine tafuta majukwaa mengine.