Nyakarungu JF-Expert Member May 1, 2011 472 377 May 7, 2016 #1 Wakuu nahitaji nyumba za national housing na kupanga zile za Ilala au Upanga au Ubungo. Pls msaada kwa mwenye uzoefu na access
Wakuu nahitaji nyumba za national housing na kupanga zile za Ilala au Upanga au Ubungo. Pls msaada kwa mwenye uzoefu na access
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 70,889 141,305 May 7, 2016 #2 Mmh hizo nyumba, kabla hata ya kuwekwa msingi unaambiwa pameshajaa