Kumbe uko Dar,pia kwa yeyote anaehitaji nyumba ya kupanga hapa mwanza kuna nyumba ipo busweru majengo mapya karibu na Atman medium school,nyumba in a vyumba 2 vya kulala kimoja ni self,sebule,jiko pia choo cha ndani (public toilet) inajitegemea na ni mpya hajawahi kuishi mtu pia hapohapo kuna chumba na sebule kinajitegemea pia kinapangishwa na kuna choo ya kujitegemea kwa pembeni yake bei
Kwa nyumba nzima ni 1,800,000/-
kwa mwaka
Na chumba na sebule ni 1,320,000/- kwa mwaka.
Kwa mawasiliano piga 0754805688 au 0769167639 Karibuni mwanza.