dovillenproperty JF-Expert Member Nov 24, 2014 3,200 2,226 Jul 14, 2016 #1 Nyumba ya vyumba 3 self IPO ndani ya fensi umeme na maji vyote vipo,ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake 280ml pia maongezi kidogo yapo
Nyumba ya vyumba 3 self IPO ndani ya fensi umeme na maji vyote vipo,ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake 280ml pia maongezi kidogo yapo
dovillenproperty JF-Expert Member Nov 24, 2014 3,200 2,226 Jul 14, 2016 Thread starter #2 dovillenproperty said: Nyumba ya vyumba 3 self IPO ndani ya fensi umeme na maji vyote vipo,ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake 280ml pia maongezi kidogo yapoView attachment 366274View attachment 366275View attachment 366276View attachment 366277View attachment 366278 Click to expand... Kwa mawasiliano zaidi na kuhitaji kuja kuiona 0756060183
dovillenproperty said: Nyumba ya vyumba 3 self IPO ndani ya fensi umeme na maji vyote vipo,ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake 280ml pia maongezi kidogo yapoView attachment 366274View attachment 366275View attachment 366276View attachment 366277View attachment 366278 Click to expand... Kwa mawasiliano zaidi na kuhitaji kuja kuiona 0756060183
dovillenproperty JF-Expert Member Nov 24, 2014 3,200 2,226 Jul 14, 2016 Thread starter #4 Man Mvua said: 280 millioni parefu sana. Click to expand... Muamini Mungu inawezekana sana
Sheikh23 JF-Expert Member Jul 11, 2016 1,146 1,880 Jul 14, 2016 #5 Njoo nikupe kiwanja 40*40 Sinza Ujanjani,uwanja una vyumba viwili banda za uani kwa 160m,nichek pm kama unahitaji kuishi kwa wajanja..
Njoo nikupe kiwanja 40*40 Sinza Ujanjani,uwanja una vyumba viwili banda za uani kwa 160m,nichek pm kama unahitaji kuishi kwa wajanja..
dovillenproperty JF-Expert Member Nov 24, 2014 3,200 2,226 Jul 14, 2016 Thread starter #6 Sheikh23 said: Njoo nikupe kiwanja 40*40 Sinza Ujanjani,uwanja una vyumba viwili banda za uani kwa 160m,nichek pm kama unahitaji kuishi kwa wajanja.. Click to expand... Mkuu sawa tunatofautiana mtazamo we unaona kwa wajanja me naona uswahilini kwahyo tunatofautiana sana
Sheikh23 said: Njoo nikupe kiwanja 40*40 Sinza Ujanjani,uwanja una vyumba viwili banda za uani kwa 160m,nichek pm kama unahitaji kuishi kwa wajanja.. Click to expand... Mkuu sawa tunatofautiana mtazamo we unaona kwa wajanja me naona uswahilini kwahyo tunatofautiana sana
dovillenproperty JF-Expert Member Nov 24, 2014 3,200 2,226 May 12, 2019 Thread starter #7 Tumeshusha bei
M MZAWA JF JF-Expert Member Apr 4, 2014 4,412 3,893 May 13, 2019 #8 Ivi ununio yale mambo ya kishirikina (majini) yameisha?
Mama Debora JF-Expert Member Aug 30, 2018 1,482 2,601 May 13, 2019 #9 dovillenproperty said: Tumeshusha bei Click to expand... Miaka mitatu sasa hajapatikana mteja.