P Pastor steven mdoe Senior Member Jan 13, 2016 113 34 Jul 1, 2016 #1 Nyumba ina vyumba 3 self IPO ndani ya fance na ukubwa wa Eneo ni 1200sqm Bei yake 300ml Kwa Maelezo zaidi tuwadiliane kwa 0756060183 Attachments 1467396872361.jpg 71.6 KB · Views: 129 1467396896441.jpg 59.6 KB · Views: 131 1467396913357.jpg 56 KB · Views: 136 1467396938506.jpg 59.6 KB · Views: 123
Nyumba ina vyumba 3 self IPO ndani ya fance na ukubwa wa Eneo ni 1200sqm Bei yake 300ml Kwa Maelezo zaidi tuwadiliane kwa 0756060183
Mkwere Sumbawanga JF-Expert Member Sep 28, 2015 744 660 Jul 1, 2016 #2 sababu ya kuuzwa ungeiweka ili mtu kupata urahisi wa kuamini inauzwa
P Pastor steven mdoe Senior Member Jan 13, 2016 113 34 Jul 1, 2016 Thread starter #3 Mkwere Sumbawanga said: sababu ya kuuzwa ungeiweka ili mtu kupata urahisi wa kuamini inauzwa Click to expand... Mkuu sidhani kama ni sawa hii!! Ila kama uko tayari me nafikiri ndio maana nimejaribu kueleza hapo kuwa kwa Maelezo zaidi piga cm na ikiwezekana njoo uione na utakuwa huru kuuliza kila swali uonalo vyema kutaka kujua
Mkwere Sumbawanga said: sababu ya kuuzwa ungeiweka ili mtu kupata urahisi wa kuamini inauzwa Click to expand... Mkuu sidhani kama ni sawa hii!! Ila kama uko tayari me nafikiri ndio maana nimejaribu kueleza hapo kuwa kwa Maelezo zaidi piga cm na ikiwezekana njoo uione na utakuwa huru kuuliza kila swali uonalo vyema kutaka kujua
dovillenproperty JF-Expert Member Nov 24, 2014 3,201 2,226 Jul 10, 2016 #6 andy90 said: vip ishapata mteja? Click to expand... Bado ipo mkuu
Nkuba25 JF-Expert Member Nov 18, 2015 2,344 13,034 Jul 11, 2016 #7 Bei hipo juu sana. Halafu hilo eneo siku kiwanda cha cement cha wazo kikimwaga lile vumbi lake la cement panakuwa hapakaliki.
Bei hipo juu sana. Halafu hilo eneo siku kiwanda cha cement cha wazo kikimwaga lile vumbi lake la cement panakuwa hapakaliki.
mgangawaukoo JF-Expert Member May 8, 2016 2,183 2,390 Jul 11, 2016 #8 Hiyo bei Ni Nyumba Tu au Kuna la zaidi ndani?
malisak JF-Expert Member Mar 16, 2006 694 775 Jul 11, 2016 #9 Nkuba25 said: Bei hipo juu sana. Halafu hilo eneo siku kiwanda cha cement cha wazo kikimwaga lile vumbi lake la cement panakuwa hapakaliki. Click to expand... Hamna bwana mi naishi masite labda kipindi cha nyuma sasa hivi nadhani miundombinu imeboreshwa,usitishike kama una mkwanja kamata mjengo
Nkuba25 said: Bei hipo juu sana. Halafu hilo eneo siku kiwanda cha cement cha wazo kikimwaga lile vumbi lake la cement panakuwa hapakaliki. Click to expand... Hamna bwana mi naishi masite labda kipindi cha nyuma sasa hivi nadhani miundombinu imeboreshwa,usitishike kama una mkwanja kamata mjengo
andy90 JF-Expert Member Mar 5, 2014 270 105 Jul 17, 2016 #10 dovillenproperty said: Bei inapungua Mtumishi ? Click to expand... Masait block gani?