House4Sale Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa bei ya kutupwa

Prof Kibogoyo

Senior Member
May 31, 2016
112
164
NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA BEI YA KUTUPWA. INA HATI MILIKI. IPO KIGAMBONI MWEMBE MTENGU. BEI NI MILION 160 TU 0744993715

SIFA YA NYUMBA.
Vyumba vinne vya kulala kimojawapo ni Master kubwa sana yenye makabati, jacuzzi AC, Dinning, Sebule kubwa, Jiko zuri lenye Makabati, Stoo & Choo/Bafu vya ndani public

Sifa nyingine ina;- Gypsum, Tiles, Slides Windows, Kisima Cha maji na tank la 5000 litres, Umeme, Garden nzuri maua/ukoka
Cars Parking space ipo ya kutosha,
Pavingblocks, Fenced house. N.k UKUBWA WA ENEO NI SQM 990.

NI NZURI, NZURI SAAAAAANA MTEJA SERIOUS AKIJA ATAWEZA JIONEA MWENYEWE LIVE . UKITAKA NA FURNITURE ZAKE ZA NDANI TUNAZUNGUMZA, MUUZAJI ANATOKA NA NGUO ZAKE TU.

MENGINEYO;-
NYUMBA HAINA MKOPO/MGOGORO WALA SIO YA MIRATHI. MMILIKI/MUUZAJI ANA HATI YENYE JINA LAKE MWENYEWE MZIMA WA AFYA ANAPUMUA NA, NI MTANZANIA MTU BINAFSI SIO TAASISI AU KIKUNDI CHA WATU.

NOTE;-
UTARATIBU WA MTEJA KUJA KUONYESHWA NYUMBA HAKUNA SERVICE CHARGE . NI BUREEE

KWA MAWASILIANO PIGA; 0744993715
FB_IMG_1683708330549.jpg
FB_IMG_1683708275241.jpg
FB_IMG_1683708336993.jpg
FB_IMG_1683708302474.jpg
FB_IMG_1683708350562.jpg
FB_IMG_1683708333524.jpg
FB_IMG_1683708311908.jpg
FB_IMG_1683708296419.jpg
FB_IMG_1683708277970.jpg
FB_IMG_1683708321381.jpg
FB_IMG_1683708281297.jpg
FB_IMG_1683708308390.jpg
FB_IMG_1683708342976.jpg
FB_IMG_1683708293144.jpg
FB_IMG_1683708290098.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom