Nyumba nzuri sana inapangishwa Dar

cagu

Member
Oct 27, 2010
79
12
Habari wanajamii.

Nina shida, nataka kuhama nimemaliza mjengo wangu, nilikuwa nakaa kwenye nyumba nzuri sana ya kupanga hapa Pugu Dar. Kodi yake ni laki mbili. Nililipa miezi sita mkataba unaisha tarehe 15.12.2015, kama miezi mitatu na siku ishirini zimebaki.

Nahitaji mtu wa kunirudishia laki sita tu nimwachie nyumba. Nyumba ina vyumba viwili vya kulala, kimoja master, sebule kubwa kabisa na nzuri, Jiko na public toilet vyote ndani kwa ndani, tiles za kioo sehemu zote hadi nje, fenced na usalama ni 100%. Maji yapo na umeme upo safi kabisa.

Nicheck kwa no: 0717 441 943

image house.jpg

View attachment 280955

ulikuwa kama unakaa bure,samehe tu huo mtonyo!
 
Back
Top Bottom