House4Sale Nyumba mpya ya ghorofani (apartment) inauzwa Upanga

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,062
295
Inavutia, bora na ya kisasa.

Nyumba ina mwonekano wa kuvutia ndani na nje ikiwa na vyumba vitatu vya kulala vyote vikiwa vimejitosheleza (masters), sebule kubwa, jiko la kisasa na eneo la kula, A/C na ceiling fans.

Jengo lina lift, jenereta, kamera za ulinzi, maegesho, na lifti 3.

Kuiona au kujua bei, wasiliana nami kwa simu/WhatsApp +255784225000.

Maelezo: Malipo kwa muda wa miaka 2 yanaruhusiwa. Bei 518mil

IMG-20240730-WA0018.jpg
IMG-20240730-WA0016.jpg
IMG-20240730-WA0015.jpg
IMG-20240730-WA0017.jpg
IMG-20240730-WA0013.jpg
IMG-20240730-WA0012.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom