House4Rent Nyumba mpya inapangishwa laki 2.5

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Ipo kigamboni hii ni mpya

Bei: laki 2.5 (miezi 6)

Vyumba viwili kimoja master, jiko, , public toilet na sitting room,fence na parking

Luku na maji vinajitegemea

Ndani ya kompaundi kuna nyumba mbili

Mahali:kisiwani km 4 toka ferry mita 300 toka barabara ya lami

Service charge10,000
____________________
For more Pictures and video
+255718295182/+255625480963
+255753254562/+255683860978

Au nifollow instgrmbangojeupe
_________________________________
Nitumie Tangazo La Nyumba, Viwanja, Mashamba, Beach, Magari Nk, Nitapokea Na Kutangaza Bure, Tuma Sasa kwa Namba Hii
Watsp
+255718295182
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…