Nyumba inauzwa Morogoro mjini (kichangani street)

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,463
2,846
NYUMBA inapatikana MOROGORO mjini kwa wakazi wa Morogoro ambao mpo karibu naomba mtanisaidia kufika eneo nyumba ilipo.

Sijafanikiwa kupata PICHA kwasababu nipo Mkoa Tofauti (Dar) na taarifa hizi nimezipokea Leo.

Nafanyia kazi swala la PICHA nitazileta nikitumiwa WHATSAPP.

MAELEZO YA NYUMBA

*Ina vyumba vya kulala 10
*Duka la biashara nnje
*Stoo

Kwasasa nyumba inatumika Kibiashara ina wapangaji vyumba vyote.

NYUMBA ina "HATI MILIKI", MAJI,UMEME vipo ni nyumba nzuri kwa mkazi wa MOROGORO.

SABABU ZA KUUZA : Kuhamisha makazi toka MOROGORO kuja DAR.

EXCHANGE inaruhusiwa Kiwanja Cha HEKA zisizopungua 5 DAR ES SALAAM.

PESA KIASI 10M.

BEI YA NYUMBA BILA EXCHANGE : 25M (FIXED PRICE) HAINA UDALALI,UNAONGEA NA MWENYE NYUMBA HAMNA KAMISHENI ZA UDALALI.

Kiwanja kiwe tu mahali popote wanapoishi watu na uwepo wa Umeme au Maji kiwepo (kimojawapo).

Picha nitazileta Nikitumiwa na watu watakaoenda piga.

Ila kwa waliopo MOROGORO mtaweza elekezwa mkafika mkaona NYUMBA physicaly.

MAWASILIANO : 0695697796

IMG-20231128-WA0140.jpg

IMG-20231128-WA0141.jpg

IMG-20231128-WA0142.jpg

NYUMBA inapatikana MOROGORO mjini kwa wakazi wa morogoro ambao mpo karibu naomba mtanisaidia kufika eneo nyumba ilipo.

Sijafanikiwa kupata PICHA kwasababu nipo Mkoa Tofauti (dar) na taarifa hizi nimezipokea Leo.

Nafanyia kazi swala la PICHA nitazileta nikitumiwa WHATSAPP.

MAELEZO YA NYUMBA

*ina vyumba vya kulala 10
*Duka la biashara nnje
*stoo

Kwasasa nyumba inatumika Kibiashara ina wapangaji vyumba vyote.

NYUMBA ina "HATI MILIKI", MAJI,UMEME vipo ni nyumba nzuri kwa mkazi wa MOROGORO.

SABABU ZA KUUZA : Kuhamisha makazi toka MOROGORO kuja DAR.

EXCHANGE inaruhusiwa Kiwanja Cha HEKA zisizopungua 5 DAR ES SALAAM.

PESA KIASI 10M.

BEI YA NYUMBA BILA EXCHANGE : 25M (FIXED PRICE) HAINA UDALALI,UNAONGEA NA MWENYE NYUMBA HAMNA KAMISHENI ZA UDALALI.

Kiwanja kiwe tu mahali popote wanapoishi watu na uwepo wa Umeme au Maji kiwepo (kimojawapo).

Picha nitazileta Nikitumiwa na watu watakaoenda piga.

ila kwa waliopo MOROGORO mtaweza elekezwa mkafika mkaona NYUMBA physicaly.

MAWASILIANO : 0695697796
Bila picha ni utapeli na unaweza kuta iko kwenye mto
 
Back
Top Bottom