Nyumba hii ipo kibamba kwa mange karibu na kibamba hospitali. Maelezo mengine ni kama ifuatavyo.
1. Hati-Haipo
2.Design ya nyumba ni two in one..kila upande ukiwa na vyumba viwili vya kulala..zote fully complete.
3. Ukubwa wa ploti ni 25 by 30. Nyumba hii imetumia nusu tu!
4. Ipo katika mazingira salama..majirani wanajeshi wa kutosha
Kwa maelezo zaidi..piga simu 0757464131-au 0759003146
Nyumba hii ipo kibamba kwa mange karibu na kibamba hospital..kilomita 1.5 kutoka bara bara kuu. Iko mahala pana usalama wa kutosha..Maji na umeme tayari.
Kwa maelezo zaidi..wasiliana nami-Owner.
Bwana owner nyumba hiyo imekosa maelezo yafuatayo....
1. Ina hati?
2. Ipo kwenye eneo la ukubwa gani?
3. Ina ukubwa gani?
4. Ina vyumba vingapi?
5. Ndani hali yake ikoje?
6. Picha mbona chache!!!
Bwana owner nyumba hiyo imekosa maelezo yafuatayo....
1. Ina hati?
2. Ipo kwenye eneo la ukubwa gani?
3. Ina ukubwa gani?
4. Ina vyumba vingapi?
5. Ndani hali yake ikoje?
6. Picha mbona chache!!!