Nyumba Inapangishwa-Moshi Mjini.

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,199
852
Nyumba inapangishwa Moshi Maeneo ya Rau Madukani.

Room: 4 (Master Bedroom 1)
Common Bathroom &Toilet.
Dinning room
Jiko (lina makabati yake)
Living room
Verandah
Vyumba vya nje (servants quarters)
Mabanda ya kuku 2
Garage
Compound ina fence.
Mazingira ni mazuri na tulivu sana

Bei :300,000 kwa Mwezi (mkataba unaanzia miezi 6) Ukilipia mwaka mzima utapata discount kubwa.
Mawasiliano: PM au 0785168001
 

Attachments

  • IMG-20151217-WA0007.jpg
    112 KB · Views: 61

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…