Nyumba inapangishwa mbezi beach.

mfetere

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
251
94
Habari wadau nyumba inapangishwa mbezi beach karibu na shule ya green acers ni vyumba viwili vya kulala master moja, jiko, dinning,Na sebule inajitegemea kwenye fensi ipo peke yake maji na umeme full.

Kodi 500,000/= laki tano kwa mwezi

0714787795.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…