House4Rent Nyumba Boko inapangishwa

Jajojo

Senior Member
Sep 1, 2015
155
95

Nyumba ipo Boko kituo cha chama au CCM, nyuma ya kanisa katoliki. Nyumba nzuri ndani ya wigo wenye waya za usalama, geti la kupendeza. Nyumba ina vyumba 4, one master bedroom, good parking lot for 3 cars. Nyumba ipo barabarani dakika 7 toka kituo cha daladala Chama/CCM Boko.



Kama unahitaji nyumba ya kupanga, first come first serve 0715 966693.
Natanguliza shukurani.
 
Weka Bei ya mwezi na kama ni mwaka au miezi 6?
 

Hii ni picha ya nyumba.
 
tafadhali ningependa tuwasiliane kwa njia ya simu. number ipo hapo 24/7.
Asante.
Taja bei ili tuwone kama tutawez kuwasiliana au LA?
 
Wapendwa ! bei ni maelewano ndio sababu naomba mnipigie simu, sidhani kama tutashindwana kama kweli umedhamilia.
Natanguliza shukurani.

Sasa tunaelewana nini wakati hujataja bei? acha unazi
 
Bado nashindwa elewa kwanini watu wanaouza/wanaotangaza vitu wanavyouza, hawaweki bei. Kutokuweka bei kunasaidia nini wakati kitu/bidhaa ni yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…