Huyu na Salman Khan wakorofi sana!!!
Wangeiga mfano wa mwenzao Sharukh Khan, ana pesa sana lakini hana makuu & ni balozi mzuri wa UN kupitia mashirika kama UNICEF.
Kila mtu hawezi kuwa sharukh.... na kila mtu angekuwa kama sharukh basi kusingekuwa na sharukhKweli sharuk khan katulia sana
Yani ndio ile IG wanaita MCM au kazi zake mkuu?
Ninampenda sana Sharukh Khan, hana makuu na mtu na ni mtoaji. Nakumbuka Ra.One ilipofanikiwa aliwanunulia team members wake Bmw Series 7 Sedan cars za maana. Ni halali kwake kuwa anaingiza mapene akikimbizana na akina Tom Cruise.
Salman Khan kama sio rushwa angekua anakula kifungo cha maisha mpaka sasa.
Mkuu unga ni starehe mbaya sanaHuyu na Salman Khan wakorofi sana!!!
Wangeiga mfano wa mwenzao Sharukh Khan, ana pesa sana lakini hana makuu & ni balozi mzuri wa UN kupitia mashirika kama UNICEF.
sharukh khan
Ndio mwenyewe mkuu.