Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,716
- 16,300
Inasemekana nguli wa muziki wa Rhumba Francois Lwambo Makiadi aliachia zaidi ya nyimbo 1000 akishirikiana na bend Yake ya Tout Puisant Ochestra Kinshasha ( T.P.O.K).
Kusema ukweli wengi wengi tunazifahamu nyimbo chache sana kutoka kwa Franco na ndiyo maana nimeufungua huu uzi ili tusaidiane kuzitaja nyimbo alizowahi kuimba ili wengine tupate fursa ya kuzisikiliza.
Kwa hiyo kama unaujua wimbo wowote wa Franco pamoja na bendi yake, basi tiririka jina la wimbo pale chini kwenye comment section.
Itapendeza zaidi kama kila mtu ataje wimbo mmoja mmoja mpaka tupate nyimbo nyingi au ikiwezekana zote za Franco.