Nyimbo za Injili kama ilivyo kaswida ni Ibada siyo Sanaa hivyo zisitumike kwenye kampeni za Siasa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
98,210
172,430
Nakumbuka kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 Chadema kupitia UKAWA walikuwa wanaimba Tenzi za Rohoni na kutoa sadaka kwenye mikutano ya kampeni za kisiasa

Niwakumbushe tu nyimbo za injili ni ibada siyo Sanaa kama nyimbo za Kipagani za akina Diamond, Ally Kiba, Zuchu nk

Ni angalizo tu
 
Chupa imeamka na chai hiyo.
 
Back
Top Bottom