Nyimbo za Boaz Danken zinanibariki sana

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,257
7,608
Huyu kijana Boaz Danken anaimba nyimbo za injili za kusifu na kuabudu ni kama kwa sasa Mungu amempa kijiti kuongoza waimbaji wengine wa nyimbo za injili hapa nchini.

Mimi mkristo nasikiliza nyimbo nyingi kila siku zinanibariki ila kwa sasa huyu kijana Boaz Danken nimekuja kugundua nyimbo zake zinanibariki zaidi kabla ya kuingia kufanya maombi ya faragha nikisikiliza nyimbo zake nimeona nabarikiwa zaidi napata majibu kwa haraka zaidi

Napenda kujua huyu kijana historia yake alipotokea na anaposali ni wapi kwa sasa
 
kijana ni mtu wa Mbeya amesoma chuo cha SAUT anasali kanisa la TAG pale karibu na chuo
 
Back
Top Bottom