Nyimbo hizi za hiphop ni nani waliimba?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,946
Kuna nyimbo za Hiphop Bongo nimewahi zisikia mara chache ila ni kali sana

1. Kuna wimbo wa mpenzi bubu. Achana na ile ya Hbaba. Hii ni hiphop mwanzo mwisho na jamaa anaflow vibaya mno japo kuna kauli kalikali. Aliimba nani huu wimbo?

2. Kuna wimbo mashairi yake yanasema, 'Ni hiphop, sikia mdundo kwenye spika. Kama umekaa basi we kichwa tikisa. Ni hiphop' wimbo mmoja mkali sana, kaimba nani?

Cc King Kong III
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom