Nyimbo bora bongo flava 2018

Barcelona763

Member
Mar 9, 2018
26
21
Nyimbo bora 11 za bongo flava mwaka wa 2018 .Zilizofanya vizuri na ambazo ni bora kwa maoni yangu binafsi.
1.nibebe aslay
2.Harmonize ft Diamond Platnumz – Kwa Ngwaru
3.nedy music one and only
4.mvumo wa radi alikiba
5.ninogeshe nandy
6.Harmonize – Atarudi
7.mbwa koko Mr blue
8.Young Killer Ft. Ben Pol & Dullyskyes - Hunijui
9.Jux – Zaidi
10.darassa achia njia
11 Nandy ninogeshe
 
Mbona Ninogeshe umeirudia mara 2...
Achia njia si imetoka juzi tu hpa...

Ningeambiwa niandike nyimbo 10 bora kwa 2018... zingekuwa hizi hapa

1. kwangwaru-Harmonize
2. Ninogeshe-Nandy
3. Iokote_Maua Sama
4. Bora Iwe-Rj The Dj
5. Niwaze-Ruby
6. Niokoe-Foby
7. Manyaku-Marioo
8. Dm Chick-Harmonize
9. Mwambie Sina-Kings Music
10. Koleza-Linah
 
1.kwangwaru - Harmonize & diamond
2. Iokote - Maua sama
3. African beauty - Diamond
4. Jibebe - Wcb
5. Ninogeshe - Nandy
6. Nadekezwa - Mbosso
7. Manyaku - Marioo
8. Niwaze - Ruby & The mafik
9. Katika - Navy kenzo & Diamond platnumz
10. Gogaga - lava lava
 
1. Kwangwaru - Harmonize & Diamond

2. Kinanda - Mensen selekta

3. Fire waist - Haromonize

4. Huendi mbinguni - Whozu

5. Go ga ga - Lava lava

6. African beauty - Diamond & Omarion

7. Iokote - Maua sama

8. Ninogeshe - Nandy

9. Totoa - Aslay Isihaka

10. Kaitesi - Aslay Isihaka
 
Back
Top Bottom