Nyumba zaidi ya hamsini zimeezuliwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha hapa Nyakanazi, wilayani Biharamulo mkoni Kagera. Miti kadhaa pia imeng'olewa na upepo huo
Biharamulo iko Kagera. Wasubiri majibu ya Mzee wao toka kanda yao akisema hivi: 'Serikali huwa haileti upepo'. Si wanakumbuka aliwaambia serikali haikuleta tetemeko?