Nunua gorofa hili - Mwanza

Ghorofa bana hua floor ya/za juu inategemea vitu viwili, Nguzo au Kulaza Tofali au ukipenda vyote. Sasa hili la kwako nikiliangalia naona kama Tofali hazijalazwa na Nguzo ziko kibarazani tu. Sasa Vyumba vingine vya juu vinabebwa na nini??
 
Pole sana ndugu yangu,ila kilichopo sokoni ndio hicho..Sina tafsiri nyingine zaidi ya hiyo,samahani sana
 
Pole ya nini unanipa??
Pole jipe wewe kwa kukosa tafsiri,
manake swali nililokuuliza ni la muhimu sana kwa mnunuzi
 
...anakupa pole wewe mwenye tafsiri,labda ulikuwa na nia ya kununua ila 'bidhaa' haijakuridhisha;na yeye ni dalali tu hausiki na hayo mengineyo!
 
Oh,
Haya niekuelewa.
But ilipaswa naye awe na clear information ya anachokiuza
 
...ulichokiuliza ni taaluma za watu..,na tulio wengi,madalali wakiwemo.,hatujui hayo..,tunajijengea tu!
...jukumu lake la msingi linabaki kuunganisha muuzaji na mnunuzi wamalizane wenyewe!
 
Poa poa Mkubwa,
Nimekuelewa vilivyo sasa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…