Master Oogway
Senior Member
- Jul 7, 2022
- 141
- 342
Hii kauli itatutafuna miaka Kwa miaka"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~
Hayati. John Magufuli.
Leta ushahidi kama alivyoleta Mleta UZI tulinganishe na ikiwezekana akaunti na majina ya benk zilizochukuliwa pesa..Huyu mtu alikuwa bingwa wa unafiki anatangaza amani huku ameficha mapanga mgongoni,kama kweli alikuwa mwema kiasi hicho kwanini aliwabambikia kodi na kuwapora fedha kwenye akaunti zao benki!
Akiweka ushahidi nistue,Leta ushahidi kama alivyoleta Mleta UZI tulinganishe na ikiwezekana akaunti na majina ya benk zilizochukuliwa pesa..
Dah yni kila nikikumbuka 17.03.2021
Wewe na wajinga wenzako wachache ndio mtahitaji ushahidi(ndio staili yenu ya kumtetea mungu wenu)lakini wenye akili wote wanajua jinsi gani aliwafanyia watu ubaya kwa sababu wafanyabiashara wengi walifikia hatua ya kuogopa kuweka hela benki na ilibidi Rais Samia afanye kazi kubwa kuwabembeleza kuweka pesa benki na hazitochukuliwa.Leta ushahidi kama alivyoleta Mleta UZI tulinganishe na ikiwezekana akaunti na majina ya benk zilizochukuliwa pesa..
Jizi na fisadi sio rahisi kupata ushahidi vinginevyo akiona unamfuatilia sana utapotezwa kimiujiza.Akiweka ushahidi nistue,
Si wabongo tunapenda propaganda sana.!
Tushafunga mjadala . Hayati Magufuli ni Mtakatifu.Raisi wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa John Pombe Magufuli mtetezi wa wanyonge aliyasema haya kuhusiana na ulipaji kodi pamoja na vitimbwi vya TRA
Maisha yako ni Baraka, Historia yako ni hadhina Kwa Nchi🙏
View attachment 2628516
Kwa sababu waliwaibia wananchi kodi zaoHuyu mtu alikuwa bingwa wa unafiki anatangaza amani huku ameficha mapanga mgongoni,kama kweli alikuwa mwema kiasi hicho kwanini aliwabambikia kodi na kuwapora fedha kwenye akaunti zao benki!
Weka ushahidiWewe na wajinga wenzako wachache ndio mtahitaji ushahidi(ndio staili yenu ya kumtetea mungu wenu)lakini wenye akili wote wanajua jinsi gani aliwafanyia watu ubaya kwa sababu wafanyabiashara wengi walifikia hatua ya kuogopa kuweka hela benki na ilibidi Rais Samia afanye kazi kubwa kuwabembeleza kuweka pesa benki na hazitochukuliwa.
Ni juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa CRDB kaeleza jinsi akaunti za watu zilivyokuwa zikipigwa pini.
Kakimbia kenge yule...Akiweka ushahidi nistue,
Si wabongo tunapenda propaganda sana.!
Hamkutimiza wajibu wa alichosema, Rais sio mtu wa kalalamaRaisi wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa John Pombe Magufuli mtetezi wa wanyonge aliyasema haya kuhusiana na ulipaji kodi pamoja na vitimbwi vya TRA
Maisha yako ni Baraka, Historia yako ni hadhina Kwa Nchi🙏
View attachment 2628516