Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Naisi nimewekewa spy application kwenye simu yangu, kila nachofanya nakuja kuambiwa, nifanyeje kujua kama imewekwa kweli, na jinsi ya kuiblock......
Aina gani ya simu na ni nani anakuambia kila unachofanya?
Naisi nimewekewa spy application kwenye simu yangu, kila nachofanya nakuja kuambiwa, nifanyeje kujua kama imewekwa kweli, na jinsi ya kuiblock......
Umeroot simu?
Na mimi nina tatizo km hilo, cm yangu huawei 530, kila nikipanga apointment na mwanaume yyte lazima anifume..!!
Na mimi nina tatizo km hilo, cm yangu huawei 530, kila nikipanga apointment na mwanaume yyte lazima anifume..!!
Basi ntaacha lkn nielekeze ntawezaje kujitoa??sasa si uache kujihusisha na wanaume au?
hapana mkuu
Nenda setting then security then device administrator angalia kuna app yoyote imekuwa listed hapo? Mara nyingi panakuwa na device manager ya google tena inakuwa deactivated ukiona kitu chengine nambie.
Kama haujaroot simu inamaana factory reset inaweza kumtoa app anaespy unless umeroot ndio zitahitajika Njia za ziada. Ila factory reset iwe solution ya mwisho baada ya njia nyengine kushindwa.
Kitu chengine unachoweza kufanya Ni kwenda setting halafu app manager halafu downloaded apps then angalia app usioijua. App ya kuspy lazima itajiita jina la kawaida hivyo kuwa makini kuangalia Ni app ipi hujaidownload.
Pia unaweza download firewall na kuzipa ruhusa app unazozijua tu ziwe na acess ya internet, inamaana kama kuna spy app itabaki na data zake humo humo bila kupeleka kwa mhusika
we hauitaji msaada..acha uendelee kufumaniwa tuNa mimi nina tatizo km hilo, cm yangu huawei 530, kila nikipanga apointment na mwanaume yyte lazima anifume..!!
kila unachofanya au ni msg tu ndo anazozisoma?Naisi nimewekewa spy application kwenye simu yangu, kila nachofanya nakuja kuambiwa, nifanyeje kujua kama imewekwa kweli, na jinsi ya kuiblock......
mkuu wewe ni kiboko.hongera zako kwa misaada yako