NSSF si shwari; wananikata 10% badala ya 5%

jnbg

Member
Apr 12, 2016
84
82
Nimeajiriwa mwaka 2015 na ilipofika mda wa kuchagua mifuko ya hifadhi ya jamii niliingia kingi nikachagua NSSF kwan agent wao ameniambia makato yote sawa na ya mifuko mingine lakini baadaye nikaona wanakata 10% of my salary instead of 5% as we agreed before,nikaanza kufuatilia na wamejibu kuwa tatizo haliko kwao ni HAZINA na wakaahidi kuwa wanalivalia njuga ila wapi mpaka leo.Sas najiuliza kwanini Nssf wakate wateja wao 10% na mwajir 10% ilihali mifuko mengine wanakata 5% na mwajiri 15%?Jamani huu si uonevu wakati mwajiri wetu ni mmoja?Naomba tubadilishane mawazo katik hili


NNawasilisha kwen wanajf
 
Pole sana
 
alyekwambia asilimia tano ni muongo.Toka 2017,mifuko ilibaki miwili tu,psssf kwa waajiriwa wa serikali na nssf kwa private
 
Panga budget zako vizuri uache kuitolea macho Hadi hela ya NSSF.... Kuhusu asilimia... Ni kawaida NSSF kukata asilimia 10
 
Umeyakanyaga.
Hii ndoa haivunjiki kirahisi.Hii nchi dhulma nyingi sana kwa jina la sheria inasema.
Na wanaoziweka sheria hizi ni vijana wasomi ambao hufurahia kuona watu wakigumia kwa maumivu kama yako.

Wewe naye uliona nini huko nssf hadi ukaichagua?
 
Jaman hou post ni ya zaman Sana,,,,nilishatoka Nssf tangu mwaka 2018
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…