MSAGA SUMU JF-Expert Member May 25, 2015 6,655 21,562 Apr 29, 2017 #1 Niko hapa UBT mvua imenyesha kama uko maeneo haya njoo nikupe ofa ya chai moto kama hautumii kuna kahawa na tangawizi. Karibuni
Niko hapa UBT mvua imenyesha kama uko maeneo haya njoo nikupe ofa ya chai moto kama hautumii kuna kahawa na tangawizi. Karibuni
Mwelewa JF-Expert Member Jan 5, 2011 2,343 3,284 Apr 29, 2017 #3 Mkuu sio upo kwenye kibanda chako unasikilizia jinsi mvua inavyogonga bati....tena vile hakuna ceiling boards noma sana
Mkuu sio upo kwenye kibanda chako unasikilizia jinsi mvua inavyogonga bati....tena vile hakuna ceiling boards noma sana
Dragoon JF-Expert Member Nov 24, 2013 7,012 8,136 Apr 29, 2017 #4 MSAGA SUMU said: Niko hapa UBT mvua imenyesha kama uko maeneo haya njoo nikupe ofa ya chai moto kama hautumii kuna kahawa na tangawizi. Karibuni Click to expand... Nikadhani unatukaribisha viroba mkuu. basi bana
MSAGA SUMU said: Niko hapa UBT mvua imenyesha kama uko maeneo haya njoo nikupe ofa ya chai moto kama hautumii kuna kahawa na tangawizi. Karibuni Click to expand... Nikadhani unatukaribisha viroba mkuu. basi bana
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 51,501 47,976 Apr 29, 2017 #5 Hiyo kahawa ni salama
Paprika JF-Expert Member Feb 25, 2017 5,951 9,877 Apr 29, 2017 #7 Jina lako linaogopesha kupokea ofa ya chakula toka kwako!
Testar JF-Expert Member May 30, 2015 7,828 13,476 Apr 29, 2017 #8 Upo na Bashite? maana anasherehekea kumponyoka Kairuki.
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Aug 13, 2015 8,545 10,280 Apr 29, 2017 #10 MSAGA SUMU kwema huko ndugu yangu?
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,719 215,811 Apr 29, 2017 #12 Babe, nitoke Kwamtogole mpaka Ubungo terminals kwa ofa ya chai, acha masihara.
T 1990 ELY JF-Expert Member Sep 7, 2014 12,567 29,420 Apr 29, 2017 #14 Nakuja sasa hivi eneo la tukio mkuu