doctor of philosophy
Member
- Jul 20, 2024
- 42
- 92
Habari zenu wakuu, bila shaka nyote ni buheri wa afya, kwa wenye magonjwa mola atawasaidia.
Pasi na kupoteza muda naomba niende kwenye lengo la andiko langu.kumekuwa na habari nyingi kuhusu Mt Rita wa kashia,hii imepelekea baadhi yetu kuwa na mitazamo hasi hasi hasa kwa dini yetu hii ya kikristo
Maana yangu ni nini.ieleweke wazi kuwa tunae muomba si mt Rita bali tuna muomba MUNGU Baba,muumba mbingu na nchi, lakini haya msombezi yetu tunayatanguliza kwa watakatifu akiwemo mt Rita wa kashia ili aweze kutuombea kwa mungu baba
Jamani ni kweli kabisa ukiomba kupitia mtakatifu Rita,unajibiwa.actually mim nasali dhehebu la Anglican but nimeanza kumjua Mt Rita since nipo secondary na hajawahi niangusha kila nilipo kuwa nikiomba anisaidie katika masomo nimekuwa ni mwenye kufaulu tena ufaulu mkubwa hadi kuongoza darasa lenye zaid ya watu 200+ mpaka namaliza form hata matokeo yangu ya necta ni mazuri tu
Lakini pia mbali na kunisaidia katika masomo juzi juzi kuna changamoto imenikumba kiasi kwamba nilikata tamaa,lakini still bado kanitendea makubwa sana.iko hivi kuna suala lilikuwa likinisumbua,sasa mbaya zaidi hadi watu wangu wa karibu ambao najua fika kabisa wanao uwezo wa kunisaidia nao pia wakasema hawawezi maybe wajipange mwakani,kiukweli niliumia sana kiasi kwamba nilikata tamaa kabsa ya kuishi,niliona kabisa sina faida yoyote duniani kwani ndugu nilo nao wameshindwa kunisaidia. Ilifika kipindi nikawa nashinda porini tu, hata kula nilikuwa sili wakati mwingine, nilikuwa ni mtu mwenye kulia kila muda lakini sikuacha kumuomba mungu kupitia mt Rita, Mt wa mambo yaliyoshindikana
Kweli naapa kwa jina la mungu katika wimbi kubwa la kukata tamaa alinisaidia,nashindwa kuelewa ilikuwaje mpaka saivi naendelea na masomo, hili tukio hata mwezi halijaisha
Nimeleta ujumbe huu mwenye kumfaa aufanyie kazi mtu akiona haumfai anaweza acha kama ulivyo pasipo kutumia kejeli na kebehi kwani andiko hili si riwaya useme uhakiki madhaifu na mapungufu ya mwandishi, kwa minajili ya kuhakiki kazi ya fasihi. Malegend mtakuwa mmenielewa ila wale watoto wa fb najua wata oppose ama kukejeli hiki nilichoandika
Pia kwa wenye ushuhuda kama mm karibuni tu share huko kwenye comments ili tuzidi kuwa fumbua macho vipofu.tumsifu yesu kritu,bwana yesu asifiwe,
#Doctor of philosophy