North Korea Attempted Missle Launch Failed

U.S pacific command wanachekesha kweli, mara wanasema hawajui nini kilifanya jaribio la bomu likafeli lakini muda huo huo wanasema walidetect na kulihack hilo bomu, source; CNBC International hii ni media ya kimagharibi iliyoandika hivyo.
 
Hadi muda huu haijajulikana ni aina gani ya bomu lililojaribiwa leo na N. Korea japo The Daily Mail limedhani kuwa huenda ni InterContinental Ballistic Missile ila S. Korea wanadhani kuwa ile ni aina mpya ya silaha. Kim Jong Un hachezi mchezo wa U.S hata kidogo ila ana mahesabu yake mwenyewe, juzi U.S wakaleta propaganda kuwa jana N.K angejaribu bomu la nyuklia ambalo lingewalazimu wao kushambulia NK, lakini Kim akagundua wanataka kumjaza upepo ili aingie kingi tena siku ya maadhimisho makubwa, akakwepa propaganda yao na ameamua kutest silaha zake siku moja baada ya maadhimisho ili U.S akilianzisha na yeye ajibu huku akiwa huru bila kubanwa na maadhimisho yoyote yale.
 
Naitafuta sana habari hii inayopeleka salamu mubashara.
 
Japo kuwa mitambo ya thaad yamefungwa s.korea sidhani kama yanaweza kuzuia silaha zote

Silaha zake zote anazitumia kupiga seoul tu ,tuone kama mbwai mbwai tu

Inawezekana test imefail lakini hao south huwa siwaamini sana sababu ni watu wa propaganda sana
 
Kwanini unamuita mjeuri(kim) amempiga nani au ameahidi kumpiga nani? Yeye amesema kuwA jaribio lolote la kushambulia kushambulia N K litajibiwa kwa nguvu
 
Sasa hizo ICBM (BANDIA) walizokuwa wana zi parade uwanjani je zinakuwa powered na MAJI? Maana Solid fuel rocket Technology hawa jamaa HAWAJAIPATA. Ndo maana lazima WAPIGWE tu ili WASIIPATE.
 
Good point! ukiweka mahaba na hisia pembeni unakuwa na uwanja mpana sana wa kufikiri.
 
Huyu mtoto hapana asee, kawashika pabaya.
Kwa mwendo huu na ujeuri huu wakithubutu kumshambulia anaweza kubonyeza Nuke.
Hana lolote alikuwa amezoea kuwa tishia kina obama! Ila kwa huyu wa sasa ni UNAWEKA UGOKO NASHUSHA NONDO"hata sasa china ambaye ni mshirika wake mkubwa ameanza kumkimbia taratibu! Kwani trump ameshasema kuwa yeye haitaji msaada wowote ktk kumpiga na sasa hata ufyatuaji makombora ovyo ovyo hutaona!! Kama bomu la MOAB, huko afganistan limetumika kwa mala ya kwanza na walioshuhudia wanasema walijua mbingu imeshuka!! Ni salam tosha kwani huwezi miaka yote unakaa unatishia majirani zako tu. Liwalo liwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…