NOKIA X2-00 Chat problem

Masuonline

Senior Member
Jun 4, 2013
192
17
Wadau wa jf nina Nokia x2-00 rakini kwenye chat ya sms imekuwa haifunguki kwa hiyo nilikuwa nahitaji msaada wenu
 
Poa kk lkn jaribu kuifomat
Unaweza kuingiza nambar *#7370# hujafanikiwa rudi tena
Wala ucjali kk Masuonline
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom