yaani hukoo ovi store ndo kabisa hakuna app yoyote inayo kubali. leo nimeweza kudownload app ya palmchat pekee ndio inayo kubali.
mkuu
chief-mkwawa nimegoogle hili tatizo nikaona watu wengi sana linawahangaisha kama kuna njia yoyote unaweza kunielekeza mkuu