Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 129,749
- 249,609
Baadhi ya Wadau wanachukulia kitendo cha Kampeni hii kabambe kupenya hadi Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kama Ushindi dhidi ya Dhuluma za uchaguzi.
Kwa Mujibu wa Ramani ya Ubongo wa kila Mtanzania, Kariakoo ndio Kitovu cha Nchi na ndio Eneo kiongozi wa Mambo yote Nchini Tanzania, Kukubalika kwa Chadema kwenye eneo hilo ni Pigo Takatifu kwa Mamluki wapinga Reforms
Taarifa zingine zimeeleza kwamba Msafara utakaoanzia Makao Makuu Mikocheni utaongozwa na Zaidi ya vijana 300 wa Boda boda.